Yaaani kama wewe ndo kabisaa[emoji23][emoji23][emoji23]Mgumu halisia ni mimi pekee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi naelewekaUnafikiri wanaeleweka wanapenda nini basi??
Farasi [emoji23]Uzi una nyota ya farasi au Ferrari maana unakimbia hatari
Aya tundzetu[emoji125] [emoji125] [emoji125] twende best[emoji39] [emoji39]
Aah usimlete huku huyo mtoto
NimekujaAah usimlete huku huyo mtoto
Nimekuona live shemuAbeeeh
Asante sana lovieUkionyesha unampa nafasi ya kumsikiliza anachoongea yeye utamfanya aone wewe ni msikivu.
Na ukiwa msikivu kwa mwenzako utapata nafasi ya kumtambua uliyetoka naye anapendelea mazungumzo ya aina gani.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Tupoo wangapiiii
Nipo nafukuzana na pesa mjini hapa, si unajua tena.Wewe apo ndo ulipotelea sijui wapi
Nilikumiss
Kuna ishu gani binti mpole???2.USIZUNGUMZIE NGONO
Kabla hujajua kama unayetoka naye anapendelea mazungumzo ya aina gani,
usikurupuke kuzungumzia habari hizo kana kwamba wewe ni mtaalamu sana ukidhani utamvutie uliyetoka naye.
Kama uliyetoka naye ana malengo ya mbali utamfanya afikirie mara mbili kama utamfaa siku za mbele.
Shemeji jamaniMimi naeleweka
Ana yake huyo kaka akeehahahahahaha lol! Kwanini Mkuu? Ni mtu poa sana.
Ndio mm huyoNimekuona live shemu