Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hongera Mkuu, vipi hali yako lakini? Hizi mvua hazijakuathiri katika mishe mishe zako za kufukuzana na ngawira?
Hatari tupu mkuu.
Sikujua kama Barabara ya kuingia mjini kupitia jangwani ilikuwa imefungwa.

Ilibidi nigeuzie magomeni nikaenda kutokea Moroco nkazungukia Mbuyuni, just kuingia mjini tu.

Tanzania hii nchi bado tuko nyuma sana aiseeee
 
andjul in action! Kamata hicho kimpumu Baba, maisha yenyewe mafupi haya; YOLO! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utamu anao upata hapo acha kabisa.Uzuri wa balimi kichwa kinaruka ruka muda wote.Yaani hapo ukikutana na injini oni tokotokotoko[emoji445] [emoji444] [emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji443] hiiiiiiiiiiii...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…