Lee Swagger
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 1,070
- 1,816
[emoji28][emoji28]yaani acha tu mzee baba anapata shida sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jiwe jaman ana shida
Duh hapana ntajidai nimezimia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]upambane tu
Hawa ndo wakuitwa portable.
Thubutuuuuuu wewe kwisha kabisa[emoji23][emoji23]Hapa inabidi ufanye kazi ya ziada, iliwezekana uende kule Mlingotini kabisa! [emoji1][emoji1]
Hiiiiiii(in jiwe's voice)
Kwisha habari yako[emoji23][emoji23]
Yaan hamu ya mpita njia imeisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu mshushuo si wakawaida,nilisoma nikabaki nacheka tu
Ila na yeye kazidi kila siku anajipachika jina jipya bila kujua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]yaani acha tu mzee baba anapata shida sana
Heheheh poaSaseni si tupatane baadae kama sio kesho[emoji112] [emoji112]
Marahaba ankoo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nachokaga na watu wasio wabunifu.Yeye kaona likes tu,yote yanayo andikwa humu kweli hayana maana kwenye maisha yake?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shikamoo andjul