Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Kwani mi kwako nishawahi kuwa Mgumu mimi we kumbuka mwenyewe nishawahi mimi??
[emoji1][emoji1][emoji1]... Mkuu! Umelivua gwanda rasmi! Huyu carba si wa spoti spoti!
Kwani mi kwako nishawahi kuwa Mgumu mimi we kumbuka mwenyewe nishawahi mimi??
😕[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 746890
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna uzi nilipita yaan wanavyotupondea sasa utadhan hawajawah kupita humu kumbe wanapita wanakula likes kimya kimya wakienda huko wanaanza shobo zao utadhan humu hatuandiki ya maanaMarahaba ankoo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nachokaga na watu wasio wabunifu.Yeye kaona likes tu,yote yanayo andikwa humu kweli hayana maana kwenye maisha yake?
Macho yangu yanachagua cha kuona[emoji23][emoji23]Duu, kakuonesha nani hii maneno? [emoji1][emoji1]
Harudii tena[emoji23]chezea babu wa uzi weweYaan hamu ya mpita njia imeisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani "abee" ina vaibreti kwa muda mrefu sana kichwani mwangu.Sijui nifanyeje ili nipone!! Inaniathiri sana,nabaki kukibembeleza kichwa "go down" mara moja....Utaponaje wakati hiyo "abeee" Lazima itoke na sauti legevu??[emoji23][emoji23][emoji23]
TununuUtwa lino jubha gwangu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]piga nduru basi kukubali ushindi wangu[emoji1][emoji1][emoji1]... Mkuu! Umelivua gwanda rasmi! Huyu carba si wa spoti spoti!
ledada...Kondoo[emoji15] [emoji15] yupi huyo?