Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Amesema kuwa usiku wa kuamkia April 15, mtuhumiwa anadaiwa kuwaua watoto wake mapacha, Nyangoma na pacha mwenzake Nyakatto ambapo baada ya mauaji hayo mtuhumiwa alitoroka.

Kamanda Ollomi amesema tukio hilo la kutisha limegubikwa na mambo mengi ya uvumi na kuwataka wananchi watulie hadi uchunguzi unaoendelea utakapokamilika.
 
Wavunaji wakubwa wa mazao ya misitu na wauzaji wa mkaa wilayani hapa, wamelazimika kurudisha leseni zao kwa Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) baada ya kushindwa kuhimili ushindani wa soko.

Meneja wa TFS Wilaya ya Mkuranga, Christina Mohamed alisema wadau hao wamesitisha uvunaji kutokana na kuongezeka kwa madereva wasafirishao mkaa kwa pikipiki ambao huingia vijijini kinyemela na kuununua kwa Sh20,000 badala ya Sh12,000 wanayolipa wao kila kiroba.
 
Inadaiwa kwa siku takriban vijana 30 huomba leseni za usafirishaji mkaa kutoka ofisi za TFS Mkuranga kwenda jijini Dar es Salaam, idadi inayokadiriwa kuwa maradufu ya wanaoingia kinyemela kufuata huduma hiyo.

“Hivi sasa bodaboda wasafirishao mkaa wameongezeka zaidi na wengi wanaingia vijijini kinyemela. Hali hii imesabisha wavunaji wakubwa wanaolipia leseni na vitu vyote kisheria kushindwa kuhimili ushindani wa soko,” alisema Christina.
 
Alisema kinachowaumiza wavunaji hao, hupaswa kununua kiroba kimoja kwa Sh12,000 kwa sababu wameshalipia gharama zote za kisheria TFS lakini bodaboda wananunua Sh20,000 kinyemela.

Kutokana na hali hiyo, Christina alisema wavunaji hao wenye leseni hushindwa kupata bidhaa na wakitaka kununua kwa Sh20,000 wanapata hasara.
 
Christina alisema wakala huo unashindwa kufanya doria kuwadhibiti bodaboda hao kwa kuwa ofisi hiyo haina gari, kwa sasa wanatumia gari moja na Wilaya ya Rufiji.

Ofisa maduhuli na takwimu wa TFS Mkuranga, Andrew Chibwana alisema bodaboda wameongezeka mwaka huu baada ya kuruhusu usafirishaji mkaa kwa pikipiki na kila siku ofisi hiyo hupokea vijana 30 au zaidi wanaochukua vibali kupeleka mkaa Dar es Salaam.
 
Alisema kila kibali hulipiwa Sh40,000 hivyo ofisi hiyo kuingiza wastani wa Sh1.2 milioni kwa siku, lakini ongezeko la wasio na vibali linatishia mapato hayo.

“Inabidi itafutwe mbinu ya kudhibiti ongezeko la vijana hawa kutoathiri mapato ya Serikali,” alisema Chibwana.

Kutokana na ukwepaji wa tozo za usafirishaji wa maliasili za misitu, inaelezwa Serikali hupoteza wastani wa Sh80 milioni wilayani humo kwa mwaka.
 
Wavunaji wakubwa wa mazao ya misitu na wauzaji wa mkaa wilayani hapa, wamelazimika kurudisha leseni zao kwa Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) baada ya kushindwa kuhimili ushindani wa soko.

Meneja wa TFS Wilaya ya Mkuranga, Christina Mohamed alisema wadau hao wamesitisha uvunaji kutokana na kuongezeka kwa madereva wasafirishao mkaa kwa pikipiki ambao huingia vijijini kinyemela na kuununua kwa Sh20,000 badala ya Sh12,000 wanayolipa wao kila kiroba.
 
Inadaiwa kwa siku takriban vijana 30 huomba leseni za usafirishaji mkaa kutoka ofisi za TFS Mkuranga kwenda jijini Dar es Salaam, idadi inayokadiriwa kuwa maradufu ya wanaoingia kinyemela kufuata huduma hiyo.

“Hivi sasa bodaboda wasafirishao mkaa wameongezeka zaidi na wengi wanaingia vijijini kinyemela. Hali hii imesabisha wavunaji wakubwa wanaolipia leseni na vitu vyote kisheria kushindwa kuhimili ushindani wa soko,” alisema Christina.
 
Alisema kinachowaumiza wavunaji hao, hupaswa kununua kiroba kimoja kwa Sh12,000 kwa sababu wameshalipia gharama zote za kisheria TFS lakini bodaboda wananunua Sh20,000 kinyemela.

Kutokana na hali hiyo, Christina alisema wavunaji hao wenye leseni hushindwa kupata bidhaa na wakitaka kununua kwa Sh20,000 wanapata hasara.
 
Alisema kila kibali hulipiwa Sh40,000 hivyo ofisi hiyo kuingiza wastani wa Sh1.2 milioni kwa siku, lakini ongezeko la wasio na vibali linatishia mapato hayo.

“Inabidi itafutwe mbinu ya kudhibiti ongezeko la vijana hawa kutoathiri mapato ya Serikali,” alisema Chibwana.

Kutokana na ukwepaji wa tozo za usafirishaji wa maliasili za misitu, inaelezwa Serikali hupoteza wastani wa Sh80 milioni wilayani humo kwa mwaka.
 
Pia zinasaidia kuboresha ufanyaji kazi wa ini na tunaambiwa ni chanzo kizuri cha Protini kwenye mwili wa binadamu. Ulaji wa njegere mara kwa mara husaidia kuboresha kinga ya mwili na kurekebisha kiwango cha sukari kwenye damu.
 
Lakini pia huzuia mtu kuzeeka kwa haraka na zina kiwango kidogo cha kalori.

Sifa nyingine ya njegere ni pamoja na kuwa na kiwango kikubwa cha nyuzinyuzi, vitamin A, B na C na hazina mafuta yanayoweza kuganda katika mishipa ya damu.
 
Wataalamu hao wanasema ulaji wa njegere za kijani huongeza damu na hukabiliana na udhaifu wa afya.

Lakini zinasaidia pia kupunguza maumivu kwenye kidonda kinachouma kwa sababu inasaidia kuondoa asidi zilizopo tumboni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…