Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Sana na wanaupendo kwakweliWakolomije wastarabu na wakarimu sana,,,wachache ndo wanaharibu sifa zao
Cute[emoji7][emoji7][emoji7]
Alikuwa anatamba hapa, mwishowe akajidai ati yeye ni gaidi mtukutu kisa alienda NGENDE Kilwa kapewa zindiko. Naamini atarudi hapa atupe mrejeshoF**ck Alshabab...
Habari kakaakeSalaam Dada wa mimi
Aaa wapi...hilo jengo linaonyesha ni pwani pwani huko.Unalo hilo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Toka mwakaleli moja[emoji23][emoji23]View attachment 747597
Utakuta pengine ndo kenyewe kanatuchezea akili tu hapa. Natamani hata kadondoke hapo (ila tu kasiumie) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaa wapi...hilo jengo linaonyesha ni pwani pwani huko.Unalo hilo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nashukuru Mungu niko salama kabisa.Huku kwema kabisa. Huko kivipi? Mafuriko yamekuacha salama. Bila shaka yatakuwa yamekasomba kale kanyoka ketu kakorofi na kang'ang'anizi
Usije sema umelishwa limbwata kama la Kongowe mzinga[emoji3] [emoji3] [emoji3]Weka hiyo voice note tusikie sauti ya binti wa pwani mwenye furaha ya kukoromijiwa [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23]hakuna option tatizoWeka hiyo voice note tusikie sauti ya binti wa pwani mwenye furaha ya kukoromijiwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Eventuale ai kani rilaksi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Sana na wanaupendo kwakweli
Mmmmh hapana shaka, hayupo wa kuwazuia ila aliye juu tuuu.