Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Zana za mwanaume wa Dar hizi. Na hapo bado. Viungo vya pilau bado havikamilika hapo !!!Una mechi ama unaenda mazoezini?
Mgumu na limbwata wapi na wapi?Alilishwa limbwata?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkoromije karibu pwani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12][emoji12]mnakataa eehUkiizumu kwa nje kuna nyumba ina matofari ya saruji.Kwetu ni mwendo wa matofari ya kuchoma.
Nimekukomesha[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hongera mkuuMechi mkuuu
VifupiHiace za chuga kama vikompasi
There are many colorful flowers on the path of life, but the prettiest have the sharpest thorns.
Hiyo haleti ng'ooo anajua balaa lake humu[emoji23][emoji23]Lete ile picha ya suruali watu wazuuumu. Wiki ya pili hii wanahangaika...
Jamaniiiii[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Ageuke nione "ushawishi" alio nao,mtu ka mstimu wa umeme sina huruma nao hata...
unakula madude yote hayo halafu mtot anakuambia kuna mambo yameingiliana kdogo So hatatokea,,, ndo hapo mwanaume anapoanza kumtext ex wake tena yule ambaye huwa anajua ni ktongo
Hili ni balaa,hapo bado supu ya pweza,vumbi la kongo daah![emoji23]Zana za mwanaume wa Dar hizi. Na hapo bado. Viungo vya pilau bado havikamilika hapo !!!
Ndiyo maana nikauliza[emoji2][emoji2]Mgumu na limbwata wapi na wapi?
Au anakwenda ila anamwambia simba wako uwanjani wanachezaunakula madude yote hayo halafu mtot anakuambia kuna mambo yameingiliana kdogo So hatatokea,,, ndo hapo mwanaume anapoanza kumtext ex wake tena yule ambaye huwa anajua ni ktongo
Mmh!!If you are ugly you must either learn to dance or make love .
[emoji23][emoji23] mixer na mbataunakula madude yote hayo halafu mtot anakuambia kuna mambo yameingiliana kdogo So hatatokea,,, ndo hapo mwanaume anapoanza kumtext ex wake tena yule ambaye huwa anajua ni ktongo