Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Those daysView attachment 747756
Asante mkuumimi mzima ledada
karbu tulisongeshe jahazi
SanaWatu wamevurugwa sana mitandaoni
Hahahahah shaurilo ukipata ya mwez kama kitoo utakosa uhondo wa humuNgoja ni pretend kupata ban nione[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hatari mkuu hiyo game ilikua inafatiliwa kiliko el clasico....[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Bush star
Vp lakini?Sana
HahahHatari mkuu hiyo game ilikua inafatiliwa kiliko el clasico....
Hahah!!
Namshukuru Mungu nipo vizuri. Ni imani yangu umeanza siku vizuri.
Yule mchoraji nasikia alifarikiHahah
Ilikuwa burudani ya aina yake
Yale magazeti sijui yalipotelea wapi,,, Bongo, Sani
Sani bado lipo ila imebidi liende na wakati ili kupambana na Ushigongo (udaku). Bongo, Filamu na Tabasamu naona yalikufa...Hahah
Ilikuwa burudani ya aina yake
Yale magazeti sijui yalipotelea wapi,,, Bongo, Sani
Dah rest in peace,,,tumemiss burudani hzYule mchoraji nasikia alifariki