Kweli Chief,, Sani bado linapambana na udaku lkn halina mvuto km lilivokuwa kpnd kileSani bado lipo ila imebidi liende na wakati ili kupambana na Ushigongo (udaku). Bongo, Filamu na Tabasamu naona yalikufa...
Sana mzee nimemiss sana PimbiDah rest in peace,,,tumemiss burudani hz
Sio mbaya sio nzuri ipo kawaida tu bestSafii
Siku yako imeendaje?
Hahaha pimbi sijui alikuwa na mkosi gani kila apatapo mtt mkali lazma picha iungue mara kamwagiwa majiSana mzee nimemiss sana Pimbi
Likes kwa postiGonga like kama bado unaukubali huuu uzi
Aisee huyo jamaa alikua na nyota ya nini sijui mana toka nianze kumjua hajawaigi kupiga show japo alikua ni playboyHahaha pimbi sijui alikuwa na mkosi gani kila apatapo mtt mkali lazma picha iungue mara kamwagiwa maji
Ujasilia mali....[emoji16]View attachment 747781