moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hajabeba vyote mkuu, hapo hakuna njumu, vikinga ugoko, nk. Unajua zana hizi ni matokeo ya kujichua, lazima utafute ziada kukabiliana mazingiraEeh! Kama vitani basi jamaa kabeba silaha zote
Hajabeba vyote mkuu, hapo hakuna njumu, vikinga ugoko, nk. Unajua zana hizi ni matokeo ya kujichua, lazima utafute ziada kukabiliana mazingiraEeh! Kama vitani basi jamaa kabeba silaha zote
Kwetu hayajafika kwakweli nashukuru MunguShwari dada, vipi maji yamekupitia mbali mitaa yenu huko
Maji hayapandi gorofani...Kwetu hayajafika kwakweli nashukuru Mungu
Sijui mitaa ya kwenu?
Love????[emoji15][emoji15]Mambo love
Ghorofa lipi jirani??[emoji15][emoji15]Maji hayapandi gorofani...