Hahah leo naona anajiamini sana sijui huwa anamuogopa MessNaona Dembele anafunga goli lake la kwanza kwenye La Liga
[emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji58]Kweli wanaume mmeumbwa mateso[emoji23][emoji23]
Kapewa majukumu makubwa leo,,, Hahah ngoja tucheki km atakaza mwanzo mwshoHahah leo naona anajiamini sana sijui huwa anamuogopa Mess
Amen [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mungu yu pamoja nasi,,,hakika kila kitu kitakuwa sawa[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Celta Vigo [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Hahah!!
Eti 5migongo ni kiwanda...
Soon tutaisikia hiyo kutoka kwa watu wa juu
[emoji16] [emoji16] [emoji16] hawa ndo celta vigo,,,United mwaka jana kwenye europa wanawakumbuka vzrDakika ya 45 goli 1-1