myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
22:33
Wanawachukulia poa Celta Vigo,,,ila Celta wakiwa nyumbani wanakuwa vzr snaBaca siunaona kikosi cha kwanza chote kipo nje
Jipe moyo ndugu yangu. Haupo peke yako na karibu kila mtu unayemwona anapitia mengi magumu japo ugumu unatofautiana. Hili hata hivyo halisaidii cho chote katika kupunguza ugumu wa magumu unayopitia kwa sababu magumu yetu siyo mashindano na kila mmoja anapambana tofauti na mwenzake.Nina magumu mengi ninayo yapitia,kuwepo hapa ni kwa ajili ya faraja.Acha nirudi kwa Mbarikiwa,Mungu aendelee kujidhihirisha ukuu wake. Amen[emoji120] [emoji120]
Nakwambia ni shida. Cha ajabu wakiondoka hapo wanakuwa na furaha kubwa ajabu !!!Kweli wanaume mmeumbwa mateso[emoji23][emoji23]
...Ya uzima? [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Maji
Sana na Barc hawanaga historia nzuri paleWanawachukulia poa Celta Vigo,,,ila Celta wakiwa nyumbani wanakuwa vzr sna
GoooWanawachukulia poa Celta Vigo,,,ila Celta wakiwa nyumbani wanakuwa vzr sna
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Jipe moyo ndugu yangu. Haupo peke yako na karibu kila mtu unayemwona anapitia mengi magumu japo ugumu unatofautiana. Hili hata hivyo halisaidii cho chote katika kupunguza ugumu wa magumu unayopitia kwa sababu magumu yetu siyo mashindano na kila mmoja anapambana tofauti na mwenzake.
Sijui mwenzangu unavyoendelea kupona kidonda cha kuondokewa na mzee wako. Mimi imekuwa vigumu kuliko nilivyofikiria na kuja katika uzi huu na kucheka nanyi wapendwa inasaidia sana. Tuendelee kuombeana na kutiana moyo huku tukipendana na kuamini katika ushindi. Yote kwa yote Mungu ni mwema na Anatupenda sana. Na kama Alivyotuahidi kamwe hatatuacha [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Naona Dembele anafunga goli lake la kwanza kwenye La LigaGooo
Mungu yu pamoja nasi,,,hakika kila kitu kitakuwa sawa[emoji120] [emoji120] [emoji120]Jipe moyo ndugu yangu. Haupo peke yako na karibu kila mtu unayemwona anapitia mengi magumu japo ugumu unatofautiana. Hili hata hivyo halisaidii cho chote katika kupunguza ugumu wa magumu unayopitia kwa sababu magumu yetu siyo mashindano na kila mmoja anapambana tofauti na mwenzake.