Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Kidumu CHACHAWA[emoji1][emoji1]
Kwema?
Kudumu! [emoji123] Mambo safi, niaje?
Kidumu CHACHAWA[emoji1][emoji1]
Kwema?
Kwa shule niliyosoma mimi(walezi walikuwa masista)hizi mambo hazikuwepo kwakweliMlikua hamnyoi? Maana kiwembe cha kupokezana.Mnene anaomba msaada akaguliwe kama zimenyolewa zote.
Kwendraaaaaa....
Hivi wallet inakaa mifuko ya mbele eeh?[emoji23][emoji23][emoji23]Utakuta watazamaji karibu wote wametia mikono mfukoni. Pengine huwa wanatafuta pesa za kuwatuza wachezaji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nashindwaga kuelezea.Ila kifo chake kinarahisisha kufikika mahali husika
Ndipo hapo sasa....Wengine ukiwaangalia vizuri utawaona wanafikicha fikicha mifuko utafikiri wanatafuta chenji mumo kwa mumo mifukoni...Hivi wallet inakaa mifuko ya mbele eeh?[emoji23][emoji23][emoji23]
MajiNini unakunywa jirani..
Mungu aendelee kukushika mkono siku zote[emoji120][emoji120]Nina magumu mengi ninayo yapitia,kuwepo hapa ni kwa ajili ya faraja.Acha nirudi kwa Mbarikiwa,Mungu aendelee kujidhihirisha ukuu wake. Amen[emoji120] [emoji120]
Poa mkuuNljua 2230,,,Owk ngoja nichek
Hotline bringNice for what
Poa sanaKudumu! [emoji123] Mambo safi, niaje?
Daah!![emoji23][emoji23][emoji23]Nashindwaga kuelezea.Ila kifo chake kinarahisisha kufikika mahali husikaView attachment 748250