Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Sio kabisaHii tabia ya kubambikiza siyo nzuri kabisa !!!
Kanga moko laki si pesa
Mimi ninato hadi tupicha twa nyie,kutuweka hapa ni aibu[emoji85] [emoji85]Ndiyo shem,wanaongoza kwa kukojoa hovyo hovyo barabarani
Kahawa?Asante jirani ila situmii chai
Kwema?Mwee[emoji134] [emoji134] [emoji134] nsobhile jubha ghwangu,usweghe.
Unasikilizia nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unaisikizia hukooooo
Hakuna kitu. Mwakaleli naye shida tupu. Sijui dada kama anajua haya mambo kuhusu mumewe. Siku nikitia mguu Kibamba tutamsema kwa Kikoromije mpaka atakoma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Imebidi ni zoom kumtafuta huyo mlengwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Mlikua hamnyoi? Maana kiwembe cha kupokezana.Mnene anaomba msaada akaguliwe kama zimenyolewa zote.[emoji23][emoji23][emoji23]halafu boarding schools za kike hazina hizo mambo(kama niliyosoma mimi)
Hivi mnaanzaje kuchunvuliana?[emoji23][emoji23][emoji23]