Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
@sakayo
No Longer at Ease [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Karibu chai ya usiku jirani..Jirani wewe ni changamoto
Njema kabisa Mungu ni mwemamambo ni poa,
habar za uzima?
Mzee Ruta sasa tunaingia kwenye ugomvi,mwenye shati la mistari kanimaliza.Kufa madudu sisomeki.Hakuna haja hata ya kugeuka.Nisaidie tafadhali,msema kweli mpenzi wa Mungu
Ila wanaume wa Dar ishu hasa ni nini jamani? This is just too much [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuma posaMzee Ruta sasa tunaingia kwenye ugomvi,mwenye shati la mistari kanimaliza.Kufa madudu sisomeki.Hakuna haja hata ya kugeuka.Nisaidie tafadhali,msema kweli mpenzi wa Mungu
Sema mkuu. Nitakutafuta tuzoze mkuu wangu.