Post mama nigonge nyundo ya likeNimejikuta natoa likes hadi nasahau kupost
kama hiyoWatu wanasahau lengo la uzi.
Lengo la uzi ni likes
Pokea glass baridi ya likesNimeshibaaaaaaa
Na huyo wamtaka tu?Kumbe tulipangiwa tukutane
Madaktari wanisamehe tu hapa.maana siwezi kufuata hapaKula mapema bila kupitisha mida ya saa moja ni vizuri kwako
31 min ago nakuja hukoNaona unakaribia oyeeeeee
Nipo hapa kichwacarbamazepine my lady
[emoji23] [emoji23] yani nimeamini maneno yakoHahhahaha toka mwanzo nilikwambia kuhusu huyu mganga kuwa ni balaa
Safi mkuu hiyo avatar ni wewe maana umenifanya nisahau kitufe cha kugonga likeKujihami siyo woga wana jukwaa.
Kwema kiongoziDaaah aiseeeh