[emoji16][emoji23][emoji23][emoji28]Yaan halafu akikushtukia anaganda hapo hapo mpaka unataman umfukuze
Futa mambo ya dini huku
[emoji444][emoji445][emoji443]Mungu ni Pendo, Apenda watu Anipenda [emoji443][emoji444][emoji445]God is love
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona umechefukwa.Shauri yake atajijua na mamizimu yake. Hakuna anayemlisha mtu hapa. Siasa zenyewe za kijima za Bongo hizi?
Sikilizeni furaha yangu, Mungu ni pendo anipenda.Mungu ni pendo apenda watu Mungu ni pendo anipenda
Hutajibiwa...Hizi hazifai huku....kuna majukwaa yake
[emoji23][emoji23][emoji23]ndumbisa woiii[emoji23][emoji23][emoji23]kama mondray alikua anaita ndumbisa makisudi kabisa haya
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Kama huujui UPENDO humjui MUNGU
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Anakupima huyo,mbona anamwita kaka humu[emoji23][emoji23]
Umeniwahi ama? Nami nimekwoti mstari huu huu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mungu ni pendo apenda watu Mungu ni pendo anipenda