Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Futa mambo ya dini huku
Utaharibu uzi
Hutajibiwa...

Angalau huyu yeye huwa hatoi povu...

Sasa post kama hiyo ina faida gani? Au kwa vile uzi unasema post cho chote; na kwamba "nina haki ya kupost cho chote ninachotaka?". Kumbe demokrasia ni two way traffic na haki yako inategemea pia haki za wanajamii wanaokuzunguka. Na huwezi kuwa dikteta kwa wenzio wakati huo huo unapigania demokrasia. Ni unafiki !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…