Binti mpole[emoji16] [emoji16]Wese mpaka utafute weee upekunyue weee ndo unaona naniii opssss jana tulikua kwenye upako yaisheeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mvua kucha! Mpaka sasa inaendeleasalama pia mkuu,,, hali ya hewa ikoje huko ulipo
Naona ni mwendo wa kuviziana tu hapa[emoji23][emoji23]Nimeisave kwa ajili ya kuwafukuzia akina shimba
Nami nimeisevu kwa ajili ya kukufukuzia wewe. Itakuwa ni mchezo wa kuwahiana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16] [emoji16] [emoji16]
na lini anakupeleka kusoma?
Aaah wapi huyo aliyefanya jaribio si kimbaumbau[emoji23][emoji23]yeye ni tukunyemaVimbaumbau vya uzi vimeshafanya majaribio na imeshathibitishwa ni kweli...Kwaaaaa !!!
Mifupa tupu !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] morning carbaNaona ni mwendo wa kuviziana tu hapa[emoji23][emoji23]
hakika mkuu,,,Thursday vibe