Salama dia za kwako?Habari ya kuamka wapendwa wa Mungu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapa kwenye vinono ngoja kwanza niweke kituo
daahh umenikumbusha mbali sanaLeft Eye,, TLC member
[emoji120] [emoji120] RIP
Pole jirani...Yaani hata mimi najishangaa,ndo mana jana nikasema huu uzi ufungwe si mzuri kwa afya ya akili[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwema?
Nashukuru Mungu nimeamka Salama.Salama dia za kwako?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawafai hawa ohoo[emoji23]
acha kabisa...nimehisi kuwa utumbo wote umetoa jasho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu ameniamsha tena Madam. [emoji144]Salama kabisa,za asubuh?
Hongera jirani. Afya iendelee kuwa njemaNamshukuru Mungu kwakweli,nimeamka salama kabisa.
Sijui wewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hadi mseme ni nini
salama mkuu,,za kwakoHabari ya kuamka wapendwa wa Mungu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wee endelea kutukana tu,muone[emoji23][emoji23]
Ina maana umeamka injini iko tokotoko??[emoji125] [emoji125] [emoji125]