cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Wakuja eeeh
Neno hilo lililiza watu ukiitwa hivyo ha ha hasa
Neno hilo lililiza watu ukiitwa hivyo ha ha hasa
Hahahah...nilikua naelezea tu 'uhalisia'Weee, ushilawadu umeanza lini? Nipo huku nyuma natwanga like
Mzushi tu,nampotezea.Usimsikilize huyoo
NzuriiiHabari za humu
Hahahaha ipo likizo.Ile imepumzika
Good job!!!!!! Nakupa likes tele kwa moyo huoNashukuru kwa wote kama lengo la uzi nimeanza kulike toka saa tisa sasa ni saa tatu kamili.
Nimelike kuanzia post ya 62000 hadi hapa nilipofika
Sambaza likes pata likes kama lengo la uzi
[emoji12] [emoji12]Mie mzima,
Oooooh ngoja kwanza niombe maji!
Kidogo najisikia vzr.
True my ladyLove and be loved
Hahahahah.............Hahaahaaaa niki comment kuijibu hii post utafurahi eee?
Kula likes zaidi kiongozi japo mawindo yanasumbua kweli kweliBichwa ChafU ndo linakubust kufanya yote hayo
Pole sanaChaaaaa, leo mbwa kala mbwa