myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Huku tangu jana mvua imepumzikaKwetu mvua tangu jana asubuh
Nani ale bugale,tunakulaga hiiView attachment 749619
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weee acha kabisa na vile kimbau mbau[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu wa ku zoom wangezoom hadi visivyo zumika
daaahh ngoma nilikuwa naielewa sana hiyo aisee...loYd alikuwa anajua sana tuCupid na muda sana sijaisikia hlf nlkuwa nmeshaisahu,,
Loyd kwenye ubora wake hapo alikuwa
TLC walikuwa vzr mkuudaahh umenikumbusha mbali sana
Usiku mwema[emoji23][emoji23][emoji23]... Alhamis njema bana!
maisha nikama shina la mti mkuu"" desturi yake huwa nikupukutisha majani yake ya kale ..ili kuweza kupata nafasi ya uotesha majani mapya""Brandy & Monica -The Boy is mine
Hawa wadada walipotelewa wapi
sana...hilo haliitaji ubishi ""TLC walikuwa vzr mkuu
Kweli kabisa mkuu!!!maisha nikama shina la mti mkuu"" desturi yake huwa nikupukutisha majani yake ya kale ..ili kuweza kupata nafasi ya uotesha majani mapya""
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mchana utafute mnuso huuacha kabisa...nimehisi kuwa utumbo wote umetoa jasho