Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mchana utafute mnuso huu
kwakweli ""ngoja niongeze budget yangu"" hivyo vitu acha kabisa...kuna wazee Fulani hivi wamjini akili zao kidogo zimeenda kushoto " waliwahi niambia wanaume tunatafuta ""pesa za kula .kujenga ..kuvaa..na kufnya umalaya tu...mimi nimeamua kuanza rasmi kufuata ushauri lakini nipo kwenye kula "" na hayo mengine ila kwenye umalaya na waachia wenye vipaji vyao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…