Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ametaka tuingie uwanjani tukiwa tumesahau matokeo ya mchezo wa awali hivyo, tutafute mabao ya haraka haraka kisha wakae na mpira na tusijaribu kucheza soka wanalotaka wapinzani wetu.”

Lakini, kingine ambacho kilionekana kuwavutia zaidi wachezaji ni taarifa kuwa, Lwandamina bado hajasaini mkataba wa kuinoa Zesco United, hivyo lolote linaweza kutokea
 
15946952139_c7da9e19dd_b.jpg
Mapenzi ulevi
 
MCHEZO wa fainali wa Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) unatarajiwa kuchezwa Juni 2, 2018 kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha, lakini kumefanyika maboresho kwa mshindi wa pili ambapo safari hii ataondoka na zawadi ya kitita cha pesa kiasi cha Sh. 10 mil.
 
Back
Top Bottom