[emoji23][emoji23][emoji23][emoji4] [emoji4]
Ushaanza maombi nini?
Hata likes mkuuBORA UOENEKANE UNAJIDAI KUGAWA GAWA HAIFAI
Ndioo[emoji55] au naniliuu wacha nisiseme[emoji23][emoji23][emoji23]
Umeona najitenga eh?
Salaam mkuu
Acha wachizike ila uzi ubaki. Uzi huu unapunguza watoto wanaokuja bila mpangilio, Uzi unapunguza walevi mtaani maana wengi wapo hapa wanagonga likes, Uzi huu unapunguza msongamano kwenye majukwaa mengine. Uzi huu una faida nyingi nafasi haitoshi kuzijaza hapa. UZI WA LIKES OYEEEEEHuu uzi watu wanachizi kaka[emoji16][emoji16]
Hahah!!Ndioo[emoji55] au naniliuu wacha nisiseme