myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
ManU wanapata bao
Dada mdomo huumbaNa wewe ushaharibika akili na uzi huu[emoji23][emoji23]
Mods funga huu uzi[emoji125]
Anaachaje lucheza ps na kudai doh ya mandazi[emoji23][emoji23]Bobo anapenda kula na kucheza game[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Alionyeshwa dorali[emoji3] [emoji3]Eti sura ngumu. Alipokuwa anaolewa hakujua kuwa jamaa ana sura ngumu?
Salama kabisaHuku kwema, UGUMU kama kawa! [emoji23][emoji23][emoji23] Habari za usiku? Vipi mafuriko!
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Nakumbuka mkuu,,, hayo magazeti nmegombana sana na dada angu,,, kila akinunua akimaliza kusoma nkilikuta mezani nabeba napeleka shuleni,,, basi wale wana wote wa backbench lazma waje kwenye dawati langu hyo siku mapumziko ntanunuliwa kila visheti vya kufa mtu
Silipi mimi[emoji23][emoji23]Boss nilikuwa nakurusha tu roho
Nimekunywa kifursana kimoja tu[emoji4] [emoji4]
Huu uzi watu wanachizi kaka[emoji16][emoji16]Dada mbona una maombi ajabu, Uzi huu ukifungwa utahamishia wapi furaha yako ?
[emoji38] [emoji38]Dadake unagani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]Salama kabisa
Mafuriko kama unavyoniona hapa sina habari niko jf naperuzi[emoji23][emoji23]View attachment 749456
Pata like ya usikuKwi kwi kwi kwi LoL!
[emoji16][emoji16]Salama kabisa
Mafuriko kama unavyoniona hapa sina habari niko jf naperuzi[emoji23][emoji23]View attachment 749456