Khaaaaa!!!Pole..ulienda kusalimia mvua ikakukuta..rudi kwako jirani
[emoji137] [emoji137] BAK
Pole[emoji3] [emoji3] [emoji3]Huu uzi ni addiction mbaya sana.
Nakumbuka siku ya kwanza kuuona niliudharau,baadaye sasa kuna mtu job alinivuruga ndo nikaingia humu sasa hivi hata kutoka naona shida.
Yaani siku ikipita bila kuja humu naona kuna kitu hakiko sawa.
Nambie BAK
Najaa [emoji38][emoji38]Kalimbu (in shiro's voice)
[emoji106]Dauzi unatembea kinoma aseee..,,
[emoji16][emoji16][emoji16]Khaaaaa!!!
You areOne in a million [emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]
Filamu? Unamaanisha gazeti la Faraji Hussein Kalambula au..Siyo Filamu kweli hilo? Hiyo page tulikuwa tunaita page ya ubwabwa. Ukiwa nayo basi washikaji watakuja tu kukutafuta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Likeswoyo woyo woyoooooooooooooooooooooò......!!!!! huku marekani sa hv saa nne usiku....vp huko bongo???[emoji23][emoji23]
Duuu ledada hata wewe!!!Saksafoni, maparachichi, na kimdabuo ni nini shem?
Hahaha! Nawe wapajua Maneromango?Hiyo ni lugha ya Maneromango? [emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550]