moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Ndugu paroko/mchungaji hujakoseaSalam maria umejaa neema,umebarikiwa kuliko wanawake wote,na yesu mzaa wa tumbo lako naye amebarikiwa.
Maria mtakatifu mama wa Mungu,utuombee sisi wakosefu sasa na saa ya kufa kwetu,amina.
Nb:kama kuna sehemu nimekosea naomba kurekebishwa[emoji120][emoji120]