Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Uzi huu ni hatari sana. Kwanza ukiuona unaudharau. Baadaye unaanza kuposti mara moja moja. Halafu wenyeji wanakukaribisha. Unaanza kuzoea pole pole. Unaanza kuona kuwa mh kumbe kuna watu wa kila aina humu. Unaanza kutoa likes na kuchangia tumijadala. Pole pole unaanza kuulizia: jamani konokono ni nini? Saksafoni je? Kimdabuo? Ukija kushtuka tayari maji yameshakufika shingoni unashusha nondo za kufa mtu kwenye mijadala ya konokono, maparachichi, saksafoni na mingineyo tata. Unabaki tu unashangaa what happened? Wakati huo hata kuondoka huwezi tena kwa sababu tayari ushakuwa addicted...Na wewe ushaharibika akili na uzi huu[emoji23][emoji23]
Mods funga huu uzi[emoji125]