Kabisaaa tena kwa hali ya hewa shawish[emoji23][emoji23][emoji23]Anamtega shemeji yake[emoji23][emoji23]
Kuwa kwenye hiu uzi ni furaha tosha bestakee[emoji4]Leo unafuraha ya nini mana toka asubuhi nakufatilia unacheka tu jmn...
Embu share na mimi nifurahi
Ee Mungu isiwe hii ninayoifikiria hapa[emoji120] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]Usiombe kujua,ni kheri usijue masna ya hayo maneno[emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Saksafoni, maparachichi, na kimdabuo ni nini shem?
Konokono ni nini numby?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kasahau konokono
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tuambie basi unachofikiriaEe Mungu isiwe hii ninayoifikiria hapa[emoji120] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]
Shiro twende zetu[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Haya kababaa
Anytime nyanya[emoji120] [emoji120]Nilihisi kuna sehemu nimesahau,asante kwa urekebisho nyanya[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Ya kuruhusu kimdabuo[emoji23][emoji23]Kabisaaa tena kwa hali ya hewa shawish[emoji23][emoji23][emoji23]
Ulisoma misheni ya Kikatoliki ama?Salam maria umejaa neema,umebarikiwa kuliko wanawake wote,na yesu mzaa wa tumbo lako naye amebarikiwa.
Maria mtakatifu mama wa Mungu,utuombee sisi wakosefu sasa na saa ya kufa kwetu,amina.
Nb:kama kuna sehemu nimekosea naomba kurekebishwa[emoji120][emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Anamtega shemeji yake[emoji23][emoji23]