Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aaaaa wapi? Hakuna wa kunikatia (kwa sasa). Ni yale mambo tu. Yanachanganya balaa sometimes [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ushazoea eeh?au ndo mtu analipia maana malupo ni hapahapa[emoji2][emoji2]

[emoji117][emoji117][emoji117]Pole,utakuwa/yatakuwa sawa jipe muda na uwe na subra[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Jeshi la Polisi Kanda Maalum linamshikilia Fatma Chikawe 31 kwa kosa la udhalilishaji na kusababisha taharuki kwa jamii.

Akizungumza na Mwananchi leo Aprili 18 Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum, Lazaro Mambosasa amesema msichana huyo wananamshikilia na kumhoji kwa kosa la kumdhalilisha kiongozi mstaafu Edward Lowassa na kusababisha taharuki kwa jamii.
 
Ni kweli tunamshikilia huyo msichana aliyejitokeza na kudai ni mtoto wa Lowassa hivyo tunamhoji baada ya kukiri amedanganya kwa makosa ya kumdhalilisha na kusababisha taharuki kwa jamii,”amesema Kamanda Mambosasa.

Kamanda Mambosasa amesema wanaendelea na upelelezi na utakapokamilika watamfikisha mahakamani kujibu mashtaka yanayomkabili.
 
Salam maria umejaa neema,umebarikiwa kuliko wanawake wote,na yesu mzaa wa tumbo lako naye amebarikiwa.
Maria mtakatifu mama wa Mungu,utuombee sisi wakosefu sasa na saa ya kufa kwetu,amina.
Nb:kama kuna sehemu nimekosea naomba kurekebishwa[emoji120][emoji120]
Salam Maria umejaa neema, bwana yu nawe, umebarikiwa kuliko wanawake wote na Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa.
Maria mtakatifu mama wa Mungu,utuombee sisi wakosefu sasa na saa ya kufa kwetu, amina.

Umekosea kidogo tu nyanya[emoji4] [emoji120]
 
Salam Maria umejaa neema, bwana yu nawe, umebarikiwa kuliko wanawake wote na Yesu mzao wa tumbo lako amebarikiwa.
Maria mtakatifu mama wa Mungu,utuombee sisi wakosefu sasa na saa ya kufa kwetu, amina.

Umekosea kidogo tu nyanya[emoji4] [emoji120]
Nilihisi kuna sehemu nimesahau,asante kwa urekebisho nyanya[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Aprili 10 msichana huyo alikuwa ni miongoni mwa watu waliojitokeza kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa akitaka kupewa msaada wa kisheria baada ya kudai baba yake ni Edward Lowassa na toka azaliwe hajawahi kumuona baba yake.

Aprili 15 ilionekana video ya msichana huyo ikisambaa kwenye mitandao ya kijamii akiomba radhi kwa kumdhalilisha Lowassa na kusema tukio hilo limechukuliwa kisiasa na sasa anakosa amani.
 
Back
Top Bottom