Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Katika kipindi hicho, malalamiko 22 yalisikilizwa na kutolewa uamuzi ambako mawakili sita wamesimamishwa kazi ya kufanya uwakili kwa muda wa miezi sita hadi miaka mitano,” amesema.

Ametoa wito kwa mawakili wote nchini kutekeleza majukumu yao kwa uadilifu wakitambua kuwa wao ni maofisa wenye dhamana kubwa ya kufanikisha utoaji wa haki kwa wakati.
 
Hahah!!

Basi hiyo page mkuu ilikua sio poa yani ukiisoma hakuna tofauti na anaeangalia video za mambo yetu zama hizi yani hisia zile zile tu
Kuna mshikaji mmoja alikuwa amekusanya page kibao akazitia rubber band tulikuwa tunamheshimu balaa. Anakupa dakika mbili tu upitie materials haraka haraka...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
Wacha nikufate[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa umma na Utawala Bora George Mkuchika amewataka wanaume kuacha kuwazalisha wake zao mara kwa mara ili kulinda afya za wanawake hao.

Mkuchika amesema suala la kuzaa mara kwa mara linamfanya mwanamke kukosa muda wa kupumzika na kushindwa kumlea kwa nafasi mtoto anayezaliwa.
 
Waziri amesema Serikali inatoa likizo ya uzazi kwa wanawake waliojifungua ya siku 84 na muda huo ni kwa wanawake waliojifungua katika kipindi cha miaka mitatu tangu alipojifungua mtoto mwingine.

Katika swali la msingi,Sonia Magogo (Viti Maalumu) alitaka kujua Serikali ina mpango gani wa kuwasaidia kinamama ambao wanajifungua kabla ya kipindi cha kuruhusiwa kuzaa tena ambacho ni miaka mitatu
 
Waziri amesema mtumishi akijifungua watoto mapacha ataongezewa siku 14 na kufikia likizo ya siku 98.

"Endapo mtumishi atajifungua mtoto/watoto kabla ya kutimiza miaka mitatu ya matenite, atapewa likizo maalumu ya wiki sita ili kuhudumia mtoto wake kwa mujibu wa kanuni za kuhudumia utumishi wa umma za mwaka 2009," amesema Mkuchika.
 
Back
Top Bottom