Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi huu ni hatari sana. Kwanza ukiuona unaudharau. Baadaye unaanza kuposti mara moja moja. Halafu wenyeji wanakukaribisha. Unaanza kuzoea pole pole. Unaanza kuona kuwa mh kumbe kuna watu wa kila aina humu. Unaanza kutoa likes na kuchangia tumijadala. Pole pole unaanza kuulizia: jamani konokono ni nini? Saksafoni je? Kimdabuo? Ukija kushtuka tayari maji yameshakufika shingoni unashusha nondo za kufa mtu kwenye mijadala ya konokono, maparachichi, saksafoni na mingineyo tata. Unabaki tu unashangaa what happened? Wakati huo hata kuondoka huwezi tena kwa sababu tayari ushakuwa addicted...
Hatari kabisa.
 
Uzi wetu huu hautakaa uchangamke tena kama wakati ule mwanaharakati KK akiendesha harakati zake humu, Bro akishusha parabozi, Big baba, Uniq na Mchina wakimpigania dadangu Baby S, Nsamaka akihangaishana na mumewe kila siku... Those were the days jamani....(Naomba KK asiione comment hii)
View attachment 748890
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shem umenikumbusha mbali.
Kweli muda umeenda sana.
Enzi za kuvunja mazizi ya watu.
Ugomvi wa kila big baba juu ya babe s.
Pete za visoda[emoji23][emoji23]
Kweli zile zilikuwa siku za furaha sana
 
Jana mwenzangu alinitisha. Anakaribia kukata tamaa. Tuzidishe maombi [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Yes, malipo ni hapa hapa duniani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Niliona nikaumia kwakweli nitaenda kwake baadaye,mtafute[emoji120][emoji120]

[emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Serikali imewafuta kazi mara moja wauguzi wote waliokuwa wanashiriki mgomo hasa baada ya kukataa kurejea kazini licha ya mwajiri wao kuridhia madai yao kisha akatoa zaidi ya dola za Marekani 17 milioni.

Tayari Rais Emmerson Mnangagwa ameidhinisha kufukuzwa kazi na kuhakikisha watu wapya wanaajiriwa haraka iwezekanavyo ili waweze kuokoa maisha ya wagonjwa.
Kumbe ni Zimbabwe. Nilifikiri ni hapa kwetu...
 
Filamu we uliliona?

Wahenga siye. Maandaeitini mjage tuwarithishe maarifa kabla hatujakwenda zetu kutalii katika magalaxies mengine huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hilo sina uhakika,sikuwa mpenzi wa magazeti mimi.
Halafu kwa mazingira niliyokulia magazeti hayo haikuwa rahisi kuyapata.

Nakuja kupata maarifa ya muhenga mie[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom