ledada
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 17,468
- 67,492
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Victor Volcan Mayweather Othiambo the first [emoji23][emoji23][emoji23]
Napendaga akiongea na kumalizia ule mguno wake
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Victor Volcan Mayweather Othiambo the first [emoji23][emoji23][emoji23]
Napendaga akiongea na kumalizia ule mguno wake
Wanaenda na muda....Wanachokifanya Mkude simba na Bwakila ni hichi hichi tu tofauti ni wao wanafanya kwa mfumo wa maneno kupitia redio....
[emoji119][emoji119] Madenge ametishaView attachment 748889
Misemo mingi bado hajaijua vizuri,ila anajitahidi kwenda na magwiji wa misemo humu sambamba.Hata Pyaar sidhani kama ameshafuzu. Sidhani kama anaweza kusoma comment nzito ya Mwakaleli akaielewa sawa sawa [emoji23][emoji23][emoji23]
Basi shiro akisikia wanamuita mtoto anajam sio mutoto ni muzee yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kasmart na kile kiduku chake,,,aloisias anamwambia shiro siwezi pigana na mtot et Kismart mtt
Inategemea mnaenda wapiJizazi....
Mashemeji hawaruhusiwi kufuatana?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huku ukimkimbiza??[emoji23][emoji23][emoji23]
Mgeni mwingine huyu. Bado hajafuzu sawa sawa. Sikwambii. Utajifunza kama ulivyojifunza yale mengine (konokono, tokotoko, saksafoni, parachichi....) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kukatiwa nini tena mkuu??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaaaaaayDaah!kumbe muda tayari
Tanesco wajinga sana[emoji19][emoji19][emoji19]
[emoji54] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji78] [emoji78] [emoji78] [emoji78] [emoji78] [emoji78] [emoji78] [emoji78] [emoji78] [emoji78] [emoji78] [emoji78] [emoji78] kwedaaa(in shiro's voice)$100kwa lisaa
Tunakulagaaaaaa [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji23][emoji23][emoji23]
Shemeji eeh shemeji shemeji eeh[emoji445] [emoji445] [emoji441] [emoji441] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Naomba usikate simu tunakupa majibu baada ya dk2...Maombi ya pamoja ndo mazuri.
Wewe unaanza lini? Ili tuanze wote
Siku akikatiwa tutamwambia maana yakeMgeni mwingine huyu. Bado hajafuzu sawa sawa. Sikwambii. Utajifunza kama ulivyojifunza yale mengine (konokono, tokotoko, saksafoni, parachichi....) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nafuu umeuliza shemJizazi....
Mashemeji hawaruhusiwi kufuatana?
Wanaroho mbaya sana[emoji19][emoji19][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaaaaaay
Pole ndindaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mimi ni kama maza hausi tu tofauti majinaInategemea mnaenda wapi
Sasa huyu anakukimbiza kabisa[emoji23][emoji23]sina imani naye kwanza anaonekana ni mjanja sana kuliko maza hausi
Wooooiiiiiii[emoji134] [emoji134] [emoji134]Tunakulagaaaaaa [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Mai Godi....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inategemea mnaenda wapi
Sasa huyu anakukimbiza kabisa[emoji23][emoji23]sina imani naye kwanza anaonekana ni mjanja sana kuliko maza hausi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naomba usikate simu tunakupa majibu baada ya dk2...
[emoji23][emoji23]
Na watamkatia kweli. Hawachelewagi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku akikatiwa tutamwambia maana yake
Sanaa nenda kwenye ule uzi wao au wapigie simuWanaroho mbaya sana[emoji19][emoji19]
Asante