Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Maria Mweusi. Na Yesu Mweusi tii. Safi sana !!!

Maria Mama wa Mungu. Umebarikiwa kuliko wanawake wote. Na Yesu mzawa wa tumbo lako Amebarikiwa. Utuombee sisi wakosefu. Sasa na saa ya kufa kwetu....

(Nimeanza kuisahau hii sala dah! )
Hamnaga hio. Wabaki wazungu tu. Waafrika tuna matatizo sana
 
Kwa kushughulikia matumbo yetu, hormoni zetu, kiasi cha sukari. Kuacha dhambi. kujifunza kutumia muda vizuri kuliko kupoteza muda kutazama TV, instagram, Facebook na mitandao mingine. Badala yake tuwe na utaratibu wa kujisomea kwa bidii, Hasa vitabu vya Hekima kama Biblia, Kurani, na vingine. Vitabu vya wenye hekima. Kutafuta maarifa .
 
Theoretically yes. In reality no!

Unahukumiwa hata kabla hujafika korokoroni. Na ukikumbwa na zali la kukutana na wananchi wenye hasira kali ndo kabisaaaa !!!
Ni kwasababu tu hatujui .. nchi zilizostaharabika hukuti ukiukwaji wa haki za binadamu kama hapa ama baadhi ya nchi zinavyokiuka. Ukijua haki zako ni rahisi pia kuheshimu na kuzilinda haki za mtu mwingine.
 
Kazi ya pesa ni kukokoa muda sio za kutumia kwenye Chips Kuku,Pombe, Nyama choma, Ugali mkubwa, Nyama choma nyingi, vyakula vilivyotunzwa kwenye makopo. Tumia pesa katika kutafuta taarifa sahihi, kununua CD za magunzo mazuri. vitabu vya wenye Hekima, sikiliza Video zenye msukumo .

Anza kupunguza uzito wako leo, hapa nakuambia kwa nini
 
Back
Top Bottom