omarion5
JF-Expert Member
- Oct 14, 2017
- 5,204
- 17,687
huyu dada kafanana sana na Avatar yako,
tujuzane[emoji16][emoji16][emoji16]
huyu dada kafanana sana na Avatar yako,
Sometimes Wa Africa bana tunahangaika sana!
Hawa hapa[emoji116]Wako wapi hao konokono?
Vitu rili kabisa..No doubt!!!View attachment 748712
[emoji38] [emoji38] [emoji38] natumai hujamtag[emoji125] [emoji125] [emoji125]he he he he
una utani na mdada mmoja humu anaitwa NAHUJA.
Akikusikia utajuta
Sister unamjua Black Madonna?
Mchana mwema pia kasmart[emoji38] [emoji125]Wakuu wakuu!!!
Mchana mwema
Hapo alipofika mwenyewe anajiona umeshafika mbali,Siku akija jitambua na kujuta sijui ni lini hio yeye kila siku anajiona mtoto. Wema angejitambua angekua mbali sana
Maria Mweusi. Na Yesu Mweusi tii. Safi sana !!!
Na Mimi naomba zang
Duniani wawili wawilihuyu dada kafanana sana na Avatar yako,
tujuzane[emoji16][emoji16][emoji16]
yupo humu? au tumngojee aja?Ivihumu kuna mtu anaitwa punnisher aisee ili jina limekaa kiutatautata sana...@punnisher duuh