Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,589
- 28,759
ha ha ha ha[emoji38] [emoji38] [emoji38] natumai hujamtag[emoji125] [emoji125] [emoji125]
nilitaka kumtag ikagoma.
Karibu twala.
ha ha ha ha[emoji38] [emoji38] [emoji38] natumai hujamtag[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Umeona eeeh? Hata kama alikuwa mweusi so what? Does it change anything? Au pengine italeta mvuvumko wa kifikra na utambuzi nafsiya, mvuvumko ambao pengine utaweza kubadilisha mwelekeo wetu wa kifalsafa na hata kututoa katika mikatale hii ya kujidharau na kujikana. Pengine....Sometimes Wa Africa bana tunahangaika sana!
Kwamba Yesu alikua mweusi teh teh my foot...
Pamoja mkuuWakuu wakuu!!!
Mchana mwema
Kwa upande wangu naendelea poa kabisa mkuu. Huko kwenu kwema?Wapendwa, mnaendeleaje humu?
Andjul ameiona hii?Vitu rili kabisa..No doubt!!!View attachment 748712
Nafuuha ha ha ha
nilitaka kumtag ikagoma.
Karibu twala.
Huku kwema. Vere tayadi (lack of sleep) lakini kumekucha salama. Another day katika kasayari haka kazuri ka bluu. Mibaraka tele bila shaka. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Kwa upande wangu naendelea poa kabisa mkuu. Huko kwenu kwema?
Hahahahah shiro,,,baadae nakuja kukupitia twende supermaketMchana mwema pia kasmart[emoji38] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23], hajaionaAndjul ameiona hii?
Amesemaje?
"Kama unataka kuona mateso ya konokono, basi muone wakati akiwa amekaukiwa na utelezi katika gamba lake"
Ai swea niliwahi kusoma hiyo stetement mahali fulani. Nadhani ni katika mojawapo ya maandiko ya Mkerewe Kezilahabi au mashairi ya Mkenya Abdilatiff Abdallah. Sikumbuki !!!
Wapi Bob Mazishi, Kipepeo, LodiLofa, Ndumilakuwili
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Hahahahah shiro,,,baadae nakuja kukupitia twende supermaket
[emoji23][emoji23][emoji28], kipepe
Hahaha sawa shiro,,, ila usimwambie aloisias[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Nakungonja hapa kwa mama kiarie usisherewe(in shiro's voice)