Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siku akija jitambua na kujuta sijui ni lini hio yeye kila siku anajiona mtoto. Wema angejitambua angekua mbali sana
Kuna watu wengine huwa hawakui (kulingana na vigezo vya kawaida vilivyozoeleka na jamii). Lakini pengine hapo alipo ndipo ukuaji wake ulipogotea, au pengine ndiyo maisha aliyoamua kuyaishi. At the end of the day, ni maisha yake. Ndiyo maana kwa wengine Le Mutuz ni shujaa kwa sababu it takes guts kuishi vile unavyotaka hasa kama kuishi huko kunakwenda kinyume na amali za jamii na mategemeo yake.
 
. We’re Always Innocent Till Proven Guilty. Nobody should be blamed for doing something until it is proven. When people say we did a bad thing we have the right to show it is not true.
Theoretically yes. In reality no!

Unahukumiwa hata kabla hujafika korokoroni. Na ukikumbwa na zali la kukutana na wananchi wenye hasira kali ndo kabisaaaa !!!
 
Kuna watu wengine huwa hawakui (kulingana na vigezo vya kawaida vilivyozoeleka na jamii). Lakini pengine hapo alipo ndipo ukuaji wake ulipogotea, au pengine ndiyo maisha aliyoamua kuyaishi. At the end of the day, ni maisha yake. Ndiyo maana kwa wengine Le Mutuz ni shujaa kwa sababu it takes guts kuishi vile unavyotaka hasa kama kuishi huko kunakwenda kinyume na amali za jamii na mategemeo yake.
Na kweli
 
Back
Top Bottom