Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Watu hawawezi kuamini lakini kuna wakati gazeti la Sani ndo lilikuwa entertainment. Watu mnapasiana mabwenini huko mpaka linachakaa nyang'anyang'a. Wakati ule linatoka mara moja kwa mwezi...
Hakika mkuu kipindi hicho tv chache sana, simu kama hivi hakuna basi burudani pekee lilikua ni hili gazeti pendwa....

Alafu kulikua na gazeti flani linakipengele cha mambo ya kikubwa kabisa lakini kwa michoro ya katuni hivyo hivyo. Ilikua burudani kweli
 
Mafuriko_2.jpg

hapo hakuna kilichobaki
Jangwani hiyo dah![emoji134][emoji134]
 
Baadaye kukawa na Tabasamu. Yote yalikufa masikini baada ya Shigongo kuingia uwanjani. Hata Sani ilibidi wabadilike haraka na kuingia kwenye udaku...
Nakumbuka mkuu,,, hayo magazeti nmegombana sana na dada angu,,, kila akinunua akimaliza kusoma nkilikuta mezani nabeba napeleka shuleni,,, basi wale wana wote wa backbench lazma waje kwenye dawati langu hyo siku mapumziko ntanunuliwa kila visheti vya kufa mtu
 
Back
Top Bottom