NiceBasi sawa,,, mchana mwema pia
Asante sana.Huku tuko poa, karibu chakula cha mchana
Wako wapi hao konokono?Ngoja wapenda konokono waje[emoji38] [emoji38] [emoji38]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahahaha wewe mwache anadhani mimba kunasa ni kazi ndogo yeye hajui wanaume tunavyoteseka kulenga yai[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85]
Heee[emoji23] [emoji23] [emoji23] una vituko
Wema akitulia na kuweka akili ya kudaka mimba ataipata vizuri tu tatizo anapenda starehe sana pombe kitimoto vyote anabugia kama maji
he he he heHuhuhu
Ya wapare hiyo[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ngoja niwaleteWako wapi hao konokono?