Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

5E826F01-4BCC-42E6-A074-F76EB1350109.jpeg
 
Alisema tatizo si mvua kubwa, bali ni kuziba kwa njia za mifereji ya maji hivyo maji ya mvua kushindwa kwenda baharini. “Bila nidhamu ya kuheshimu mipango miji mafuriko yatakuwa common feature (kitu cha kawaida) ya Jiji la Dar es Salaam.”

Profesa Tibaijuka alisema Bonde la Msimbazi ndiyo njia pekee kwa maji yote yatokayo Pugu Hills, Ukonga, Uwanja wa Ndege, Tazara, Tabata, Kigogo, Magomeni, Ilala kufika eneo la Jangwani hadi daraja la Selander yanapoingilia baharini.
 
Alisema maji kutoka Ubungo, Manzese, Tandale, Magomeni Kagera, Kinondoni, Hananasif, Muhimbili hadi Jangwani njia ni hiyohiyo na kwa upande wa Chuo Kikuu mito Mbezi, Mlalakuwa na Mdumbwi (Kawe) imejengwa na njia za maji kuifikia kuzibwa.
 
Nimeona nielezee hili kwa watu wanaotaka kujua kwa nini wataalamu wametufikisha hapa. Si wataalamu. No interests. Ni utamaduni wa kutoheshimu utaalamu. Na wananchi kutaja quick solutions (ufumbuzi wa haraka),” alisema Profesa Tibaijuka aliyewahi kuwa mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Makazi (UN – Habitat).
 
Mwanamuziki Nassib Abdul maarufu Diamond Platnumz ameingia katika mgogoro mwingine na vyombo vya dola na safari hii huenda akakabiliwa na faini au kifungo kisichopungua miaka saba iwapo atafikishwa mahakamani na kupatikana na hatia.

Diamond alihojiwa na polisi juzi kuhusu tuhuma za kusambaza picha kinyume na maadili na baadaye rapa Billnass na mwanamitindo Hamisa Mobeto kuhojiwa kuhusu tuhuma kama hizo huku mwanamuziki Nandy akisakwa baada ya wasanii kuonekana kwenye video mbili zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikiwaonyesha kama watu walio katika faragha.
Pole sana wasanii
 
Profesa Tibaijuka alipinga kauli za baadhi ya watu kuwa mradi wa mabasi yaendayo haraka ulisababisha kuziba baadhi ya njia za maji eneo la Jangwani akisema hata kabla ya kujengwa kwa mradi huo mafuriko yalikuwepo, tena makubwa.
 
Back
Top Bottom