Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

barabara.JPG
 
Baadhi ya waathirika wa mafuriko katika maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam wameanza kurejea kwenye makazi yao baada ya kuyakimbia kwa siku kadhaa.

MCL Digital, leo Jumatano, Aprili 18 ilitembelea katika maeneo yaliyokumbwa na kadhia hiyo ikiwemo kata ya Kijichi na kuwakuta wakazi hao wakifanya usafi.
 
Back
Top Bottom