Hahahaha!! Unapishana nayo tu kimtindo.Mvua za dar majanga sana unaweza kupanda gar za gongo la mboto ukakutana na nyumba inarudi na mafuriko inatokea karume[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mafuriko ndy habar ya jiji nyie mnaweka mpira
he!Mvua za dar majanga sana unaweza kupanda gar za gongo la mboto ukakutana na nyumba inarudi na mafuriko inatokea karume[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asante sana...[emoji38] huhuhu
Karibu sana, watafurahi kukuona