Hahah!! Yaani wewe unapenda sana hiyo mambo...Salama marahaba za huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28], wallet zawekwa mifuko ya nyuma, hiyo ya mbele wanaweka vibubu.Hivi wallet inakaa mifuko ya mbele eeh?[emoji23][emoji23][emoji23]
Ile sio issue ya ajabu mkuu barc hawanaga historia pale...Mungu anasaidia,jana wale watt kidogo wachafue hali ya hewa
morning tooTeam likes gud morning
Nzuri za wewe?Habari ya asubuhi Numbisa
De Bruyne mbinafsi tu,,, Akubari tu Mo Sarah hana mpinzani EPL,, kwa msimu mmoja kaweza kuchukua mchezaji bora wa mwezi kwa miezi mitatu na haijawahi tokea toka EPL ianzeKwa vile wachezaji wa timu moja hawaruhusiwi kupigiana kura, De Bruyne anadia kwamba kama angeweza kufanya hivyo basi kura yake ingeenda kwa kiungo mwenzake wa Manchester City, David Silva.
AMUN RAGr8 my dear!
salama kabisa,,, hali ya hewa vipi hukoNzuri za wewe?
Huku bana kuna kamvua furani hivi, lakini maisha yanasonga tu mkuuHuku kwema mkuu baridi ipo ya kutosha, vp huko
kikubwa wamelinda record yao ya unbeaten kwa msimu huuIle sio issue ya ajabu mkuu barc hawanaga historia pale...
Ila zile sub mbili tu zilienda kubadirisha hali ya hewa ila baada ya red card tena ndio watoto kama walikula pili pili vile...
Amin, INSHAALLAH,Tumshukuru Mungu na tunamuomba atuvushe samala siku ya leo. Wote tuseme Amina/Amen..
We mzima Numbisamorning too
Basi kheri mkuu!!! Asubuhi njemaHuku bana kuna kamvua furani hivi, lakini maisha yanasonga tu mkuu