[emoji23] [emoji23] [emoji23] una vitukoHahahaha wewe mwache anadhani mimba kunasa ni kazi ndogo yeye hajui wanaume tunavyoteseka kulenga yai[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85]
Ee maharage yanachangamsha akili na kuleta kaulevi flan amazing,gud hapo utakua umeniota poti
Aaacha hizo fisi wapi wasalimie huko ndoton[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimekuota eti ulikuwa unanifukuza na fisi, nimetimua! [emoji23][emoji23][emoji23]