Kufa kufaana
Enzi hizo home nikikua nakatazwa kusoma haya magazeti ila shule nayakuta kibao baasi kazi ni kujipendekeza ili nipewe nisome wadada wenye magezt siku hio ful kuringaaa na kujidaiNdiyo muda wao. Nao watakuja kusema hivyo hivyo kwa kizazi kitakachokuja. Maisha !!!
Miundombinu isiyo rafiki
Kabisaaa kama mie hata nikiwa safarin huwez jua kama nipo safarin maana ntaendelea tu kutupia magazet kama kawaHuu uzi ni addiction mbaya sana.
Nakumbuka siku ya kwanza kuuona niliudharau,baadaye sasa kuna mtu job alinivuruga ndo nikaingia humu sasa hivi hata kutoka naona shida.
Yaani siku ikipita bila kuja humu naona kuna kitu hakiko sawa.
Ukaidi wa kujenga bondeni