Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mafurikoii.JPG
Misaada kwa wathirika
 
3.Itaondoa njaa Isio na sababu.

Siku hizi vyakula vipo kila mahali. Tena vinaonyeshwa kwa nje , vinavutia macho na kuongeza hamu ya kutaka kula. kwa maneno mengine, Ubongo wetu umeshambuliwa na ladha ya vitu vitamu kila mtaa unaopita, inarahisisha dalili za njaa kuanza kwenye akili zetu. Kwa hio watu wanashindwa kuelewa kama ni njaa au sio hali ya njaa bali ni tamaa ya macho na kushambuliwa kwa ubongo.
 
acha kukaa barazani kuongea umbea, acha kukaa kwenye Tv muda mrefu kutazama movies. Badala yake soma vitabu, nenda kwenye seminar mbalimbali, tafuta makala nzuri jifunze kupigana na ujinga. Acha kupigana na umaskini. Hutaweza kusikia njaa hovyo hovyo kama utafanya hivi vitu .
 
Tafuta picha ambayo unatamani uwe kama hio. au mtafute mtu akuchoree picha ya umbo unalolitaka , halafu tundika juu, mahali ambapo kila wakati utakuwa unaangalia hio picha, Na ndivyo utakavyokuwa. Haijalishi uko umri gani, hakuna kisichowezekana. Jump anza kuondoa uzito ulionao kwa kutumia njia hizo zote nilizokupa. Fanya kwa imani bila ya kuwa na shaka wala hofu . jiwekee malengo.
 
Rudi nyuma huko ulikoelekea umeenda mbali. Mrudie Mungu sawasawa. Acha dhambi.Kwa nini nasema hivyo, kwa sababu kama unafanya dhambi yoyote unayoijua , au kama unapenda kitu fulani na huwezi kuacha. hivyo vitu vinageuka na kuwa magonjwa.Ukiacha dhambi utakula vyakula vizuri. Utalala usingizi kama mtoto mdogo. wala hutalala masaa mengi, maana utaona unapoteza muda.
 
Nina mengi ya kukuambia lakini najua wewe ni mvivu wa kusoma. ngoja niishie hapa . hata hivyo Mungu akukumbuke kwa kusoma kwako. Anza kumsuhukuru Mungu kila baada ya dakika 60. Mungu anapatikana mwanzo wa lisaa. Mkumbuke Mungu, Mshukuru Mungu, Msifu Mungu.Atakufanyia wepesi wa maamuzi yako.
 
Back
Top Bottom