Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Baridi
Hahahahahhaa kimdabuo cha kuombea aliyeanza ashuke mliman mapema hahahaYa kuruhusu kimdabuo[emoji23][emoji23]
Akiii mods wafunge huu uzi watu wamechizi humu
Aaah! Kila siku naona misamiati mipya tu..Misemo mingi bado hajaijua vizuri,ila anajitahidi kwenda na magwiji wa misemo humu sambamba.
Ila mwakaleli ana comment nzito acha kabisa[emoji23]
Kula matunda tu .. namaanisha breakfast ako iwe ni matunda lunch mpaka chakula ya usiku .. utakua umetibu sukari. Achana na vyakula vyooote replace na matunda na hasa yale yasiyo na sukari nyingi.2.Inasawazisha Sukari ya damu
Ni ngumu na Sio rahisi kupunguza sukari inapokuwa imeingia ndani ya mwili wako, unapokuwa na presha, kuumwa mgongo, miguu, kiuno
Hahah!! Eti utoto kwahiyo sasa hivi umekua?Hizo nilizipendaga hahaah utoto bana,home nakatazwa wanayaficha ila shule nayakuta tele