Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20180418-WA0006.jpg
 
Unafikiri shida yetu kuu kama weusi hasa ni nini? Shida zetu weusi popote duniani zinafanana fanana - tuwe Afrika, visiwa vya Carribean, Amerika, Australia, Haiti, Ulaya na kwingineko (umasikini, uvivu, ufisadi wa kupindukia, ngono kwa sana na kuzaliana hovyo hovyo tu na mengineyo mengi). As a race, kwa nini tuko hivi tulivyo?
Hua napata hasira sana nikiona upumbavu tunaofanya wa Africa. Nakumbuka Mwalimu wangu kwenye topic ya Neo colonialism alikua anamwaga hadi chozi anaahirisha kufundisha kabisa! Wa Africa tusijifanye tunaonewa wakat ni ujinga wetu wenyewe. Eti tunakalia ku debate Maria na Yesu walikua weusi utadhan kama alikua mweusi basi zile huduma mbovu za jamii zitatatuliwa
 
Aibu inaweza kukuonyesha jinsi ulivyo kuliko jinsi unavyotenda mambo. Hakuna lengo lolote lililopo hapo. Kama hisia zingine zilivyo, Aibu inaweza kuishi muda mrefu ndani ya mtu.
 
Hua napata hasira sana nikiona upumbavu tunaofanya wa Africa. Nakumbuka Mwalimu wangu kwenye topic ya Neo colonialism alikua anamwaga hadi chozi anaahirisha kufundisha kabisa! Wa Africa tusijifanye tunaonewa wakat ni ujinga wetu wenyewe. Eti tunakalia ku debate Maria na Yesu walikua weusi utadhan kama alikua mweusi basi zile huduma mbovu za jamii zitatatuliwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu mwalimu ana yake [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom