Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Umeponya moyo wako kutokana na tabia zako zote, kiasi cha nguvu zako ziko vizuri. Mood yako, na digestion yako iko vizuri. Mahusiano yako yapo vizuri,Maisha yako yamejawa na ucheshi. Stress unaidhibiti kama kawaida. Ni kitu gani hasa kinaweza kukosekana?
 
Kama uko vizuri katika ufahamu wako, inaonyesha uko makini kwa kila unachokiingiza ndani ya mwili wako inapokuja suala la chakula.

Lakini unaweza kusema hivyo hivyo na katika virutubisho?
 
Dar ni mji wa ajabu sana sijapata kuona, eti katikati ya jiji unaweza kukuta mtu anazama eti. AISEEE
Kuzama katikati siyo jambo la ajabu ati! [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sio virutubisho vyote vimetengenezwa sawa.

Vimewekwa hivyo ili kufikiria viko vizuri. Tangu hivi virutubisho kuwepo kwa ajili ya kusaidia afya za watu, Mchanganyiko wake ni salama na wenye kiwango cha juu.

Kwa kuongezea hapo. Unafahamu hivyo virutubisho vimetengenezwa wapi?
 
Ni kitu gani hasa huwa unakiangalia kwenye virutubisho? Ni vitu vingi ndio. Huenda kitu cha muhimu sana ni lable. Lakini virutubisho vizuri vinatakiwa visiwe na ladha tamu, au kuongezwa rangi. Kwa hio kwenye lable inatakiwa kuwepo vitu muhimu tu vinavyohitajika kwa mtumiaji sio ladha ya utamu. Kama utakachokiona kilichoandikwa kwenye lable ndicho ukikute ndani.
 
Tafuta Brand ambayo unaiamini.

Ni bahati kama ukipata brand ambayo unaiamini, hutakuwa mtu wa kufikiria sana. Utaokoa muda wako , na utakuwa na ujasiri unapotumia ndani ya mwili wako. Na sio tu usalama lakini pia unapata faida.
 
Back
Top Bottom